Zabron Singers - Sweetie Sweetie Mp3 Download, Lyrics, Video
Gospel Vibes | Download Latest Gospel Songs 2022
ADVERTISEMENT
  • Home
  • Gospel Music
    • Album
    • African Gospel Music
      • Nigerian Gospel Music
      • Ghana Gospel Music
      • Tanzania Gospel Music
      • South African Gospel Music
      • Kenyan Gospel Music
    • Foreign Gospel Music
  • VIDEO
    • Music Video
    • Movies
  • Lyrics
  • Mixtape
  • Upload
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
No Result
View All Result
  • Home
  • Gospel Music
    • Album
    • African Gospel Music
      • Nigerian Gospel Music
      • Ghana Gospel Music
      • Tanzania Gospel Music
      • South African Gospel Music
      • Kenyan Gospel Music
    • Foreign Gospel Music
  • VIDEO
    • Music Video
    • Movies
  • Lyrics
  • Mixtape
  • Upload
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
No Result
View All Result
Gospel Vibes | Download Latest Gospel Songs 2022
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

You Are Here: Home » Tanzania Gospel Music » Zabron Singers – Sweetie Sweetie

Zabron Singers – Sweetie Sweetie

by Godspower Afolabi
Tuesday, 5 July 2022, 01:16 am
in Gospel Music, Tanzania Gospel Music
Zabron Singers - Sweetie Sweetie

Download “Sweetie Sweetie” by Tanzanian group of singers known as Zabron Singers (Mp3, Video & Lyrics).

Download

Watch Video Below:

Get Audio Below:

DOWNLOAD MP3

Get Song On Digital Stores: https://song.link/tgn50jcrpwr8d

LYRICS: Zabron Singers – Sweetie Sweetie

Hatimaye ni leo, ni siku yetu
Siku yetu muhimu, harusi yetu
Uwepo wenu nyote hehee
Kwetu ni kitu

Kwetu ninyi ni ndugu
Leo na kesho

Harusi maua
Ng’ari ng’ari wanapendeza
Leo ni furaha shangwe na furaha

Harusi maua hee
Tabasamu suti na shela
Wacha tufurahi, sote tufurahi

Sweetie, sweetie, sweetie
Haikuwa rahisi
Tufike leo hii

Na hapa tulipo
Ndio siku yetu uuh
Ipo muhimu uuh
Ya harusi

Sweetie, sweetie baby
Haikuwa rahisi
Tufike eeh leo hii

Na hapa tulipo
Ndio siku yetu uuh
Ipo muhimu uuh
Ya harusi

Sasa nyumba moja, mwili mmoja
Kila kitu ni moja, tuwe pamoja
Upendo naongeza, nawe ongeza
Heshima napandisha, tuwe pamoja

Sweetie, sweetie baby
Haikuwa rahisi
Tufike eeh leo hii

Sasa wewe ni mimi
Mimi ni wewe
We ndo mwandani wangu
Rafiki yangu

Sasa wewe ni mimi
Mimi ni wewe
We ndo mwandani wangu
Rafiki yangu

Na wazazi wameona, wakaturuhusu
Kwa furaha wakasema hee
Tumewabariki

Na mwenyezi Maulana
Atatubariki
Tukazae na tulee hehee
Watoto wazuri

Sasa wewe ni mimi
Mimi ni wewe
We ndo mwandani wangu
Rafiki yangu

Sweetie, sweetie, sweetie
Haikuwa rahisi
Tufike leo hii

Na hapa tulipo
Ndio siku yetu uuh
Ipo muhimu uuh
Ya harusi

Sweetie, sweetie baby
Haikuwa rahisi
Tufike eeh leo hii

Na hapa tulipo
Ndio siku yetu uuh
Ipo muhimu uuh
Ya harusi

Sasa nyumba moja, mwili mmoja
Kila kitu ni moja, tuwe pamoja
Upendo naongeza, nawe ongeza
Heshima napandisha, tuwe pamoja

Sweetie, sweetie, sweetie
Haikuwa rahisi
Tufike leo hii

Ya ndoa mengi mengi, tupande nayo
Sweetie nikuheshimu, uniheshimu
Mahaba moto moto, yawe ni wimbo
Kwetu yawe waridi, yakanukie

Walikuwepo, walitamani
Nao wakafunga harusi, wakapalangana
Haikuwezekanaa

Kama si Mungu, tusingefika hapa
Na kufurahi hivi
Na leo ni leo mambo sasa ni mambo

Sweetie, sweetie, sweetie
Haikuwa rahisi
Tufike hee leo hii

Na hapa tulipo
Ndio siku yetu uuh
Ipo muhimu uuh
Ya harusi

Sweetie, sweetie baby
Haikuwa rahisi
Tufike eeh leo hii

Na hapa tulipo
Ndio siku yetu uuh
Ipo muhimu uuh
Ya harusi

Sasa nyumba moja, mwili mmoja
Kila kitu ni moja, tuwe pamoja
Upendo naongeza, nawe ongeza
Heshima napandisha, tuwe pamoja

Na tutakumbushana, kukaa na Mungu
Familia ya Mungu, hujaa upendo
Wema kwa ndugu wote wa pande zote
Tutapendwa na wote hata na Mungu

Tags: Zabron Singers
Previous Post

Joseph Okuse – Faithful God

Next Post

Zabron Singers – Mkono Wa Bwana (The Hand Of God)

Related Posts

Zabron Singers – Usiniache

Zabron Singers – Usiniache

January 6, 2022
Zabron Singers - Ntaweza

Zabron Singers – Ntaweza

January 2, 2022

Zabron Singers – Nawapenda

January 1, 2022
Zabron Singers – Imenigharimu

Zabron Singers – Imenigharimu

January 1, 2022

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Search

No Result
View All Result

RECENT POSTS

Teepraiz - Nothing You Can Not Do

Teepraiz – Nothing You Can Not Do

July 4, 2022
Mercy Solomon - Too Faithful

Mercy Solomon – Too Faithful

July 4, 2022

Prinx Emmanuel – Pariwo (Live)

July 3, 2022

Buchi – Yes, Lord!

July 3, 2022

Eben – Idi Ebube ft. Double H

July 3, 2022

Trending Posts

  • Elder Niyi Fadipe - Ijinle Ninu Ijinle

    Elder Niyi Fadipe – Ijinle Ninu Ijinle

    2 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Spirit Of Prophecy – Omo Baba

    1 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Prinx Emmanuel – Pariwo (Live)

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • [Music] David Dam – Elohim Adonai

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • Buchi – Yes, Lord!

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • [Music] Gbenga Akinfenwa – Aanu Ni Mori Gba

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • [Music] Peterson Okopi – Osuba

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • [Music] Abraham Akatu – Ogbenjuwa

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • [Music + Lyrics] Chris Delvan – El Elyon

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • [Movie] Overcomer (2019)

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Tags

ada ehi apostle joshua selman buchi Chris Morgan Dante Bowe Dunsin Oyekan Eben Elevation Worship elijah oyelade Events FOLABI NUEL Frank Edwards guc hillsong united Jlyricz Judikay lawrence oyor Limoblaze Maverick City Maverick City Music mercy chinwo Mike abdul Minister GUC Moses Bliss Mount Zion Film Production Mr. M & Revelation Nathaniel Bassey okopi peterson Onos Onos Ariyo Peterson Okopi PREYE ODEDE Samsong sinach SOLA ALLYSON Solomon Lange Tasha cobbs Tasha Cobbs Leonard theophilus sunday Tim Godfrey Tope alabi Travis Greene Tribl Ty Bello Yadah

Recent Comments

  • Anonymous on [Music + Lyrics] Chris Delvan – El Elyon
  • LarLah on Spirit Of Prophecy – Omo Baba
  • Joy Samuel on [Music + Lyrics] Okoogwa Paul – God Of Possibillities
  • Akpagu Joeffry on [Music + Lyrics] Chris Delvan – El Elyon
  • Iduh Peace on Get All Theophilus Sunday’s Powerful Worship Songs (Free Mp3 Download)
Gospel Vibes | Download Latest Gospel Songs 2022

Gospel Vibes © 2022

Navigate Site

  • Home
  • Contact Us
  • About Us
  • Privacy Policy
  • Terms Of Use
  • DMCA/Content Removal
  • Upload/Promote Your Song On Gospel Vibes
  • Sitemap

Follow Us

No Result
View All Result
  • Home
  • Gospel Music
    • Album
    • African Gospel Music
      • Nigerian Gospel Music
      • Ghana Gospel Music
      • Tanzania Gospel Music
      • South African Gospel Music
      • Kenyan Gospel Music
    • Foreign Gospel Music
  • VIDEO
    • Music Video
    • Movies
  • Lyrics
  • Mixtape
  • Upload
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer

Gospel Vibes © 2022

AllEscortAllEscort